Native Bible

Lamentations 5:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tumejitolea kwa Misri na Ashuru tupate chakula cha kutosha.

Lamentations 5:6 in English

Lamentations 5:6 · Berean Standard Bible

We submitted to Egypt and Assyria to get enough bread.

Context

4Ni lazima tununue maji tunayokunywa, kuni zetu zapatikana tu kwa kununua. 5Wanaotufuatilia wapo kwenye visigino vyetu, tumechoka na hakuna pumziko. 6Tumejitolea kwa Misri na Ashuru tupate chakula cha kutosha. 7Baba zetu walitenda dhambi na hawapo tena, na sisi tunachukua adhabu yao. 8Watumwa wanatutawala na hakuna wa kutuokoa mikononi yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.