Native Bible

Lamentations 5:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni lazima tununue maji tunayokunywa, kuni zetu zapatikana tu kwa kununua.

Lamentations 5:4 in English

Lamentations 5:4 · Berean Standard Bible

We must buy the water we drink; our wood comes at a price.

Context

2Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni, na nyumba zetu kwa wageni. 3Tumekuwa yatima wasio na baba, mama zetu wamekuwa kama wajane. 4Ni lazima tununue maji tunayokunywa, kuni zetu zapatikana tu kwa kununua. 5Wanaotufuatilia wapo kwenye visigino vyetu, tumechoka na hakuna pumziko. 6Tumejitolea kwa Misri na Ashuru tupate chakula cha kutosha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.