Native Bible

Lamentations 5:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tumekuwa yatima wasio na baba, mama zetu wamekuwa kama wajane.

Lamentations 5:3 in English

Lamentations 5:3 · Berean Standard Bible

We have become fatherless orphans; our mothers are widows.

Context

1Kumbuka, Ee Bwana, yaliyotupata, tazama, nawe uione aibu yetu. 2Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni, na nyumba zetu kwa wageni. 3Tumekuwa yatima wasio na baba, mama zetu wamekuwa kama wajane. 4Ni lazima tununue maji tunayokunywa, kuni zetu zapatikana tu kwa kununua. 5Wanaotufuatilia wapo kwenye visigino vyetu, tumechoka na hakuna pumziko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.