Native Bible

Lamentations 5:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni, na nyumba zetu kwa wageni.

Lamentations 5:2 in English

Lamentations 5:2 · Berean Standard Bible

Our inheritance has been turned over to strangers, our houses to foreigners.

Context

1Kumbuka, Ee Bwana, yaliyotupata, tazama, nawe uione aibu yetu. 2Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni, na nyumba zetu kwa wageni. 3Tumekuwa yatima wasio na baba, mama zetu wamekuwa kama wajane. 4Ni lazima tununue maji tunayokunywa, kuni zetu zapatikana tu kwa kununua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.