Maombolezo 3:50
Lamentations 3:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
hadi Bwana atazame chini kutoka mbinguni na kuona.
Lamentations 3:50 in English
Lamentations 3:50 · Berean Standard Bible
until the LORD looks down from heaven and sees.
Context
48Vijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu,
kwa sababu watu wangu wameangamizwa. 49Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma,
bila kupata nafuu, 50hadi Bwana atazame chini
kutoka mbinguni na kuona. 51Lile ninaloliona huniletea huzuni nafsini
kwa sababu ya wanawake wote wa mji wangu. 52Wale waliokuwa adui zangu bila sababu
wameniwinda kama ndege.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.