Native Bible

Lamentations 3:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma, bila kupata nafuu,

Lamentations 3:49 in English

Lamentations 3:49 · Berean Standard Bible

My eyes overflow unceasingly, without relief,

Context

47Tumeteseka kwa hofu kuu na shida ya ghafula, uharibifu na maangamizi.” 48Vijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu, kwa sababu watu wangu wameangamizwa. 49Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma, bila kupata nafuu, 50hadi Bwana atazame chini kutoka mbinguni na kuona. 51Lile ninaloliona huniletea huzuni nafsini kwa sababu ya wanawake wote wa mji wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.