Native Bible

Lamentations 3:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Vijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu, kwa sababu watu wangu wameangamizwa.

Lamentations 3:48 in English

Lamentations 3:48 · Berean Standard Bible

Streams of tears flow from my eyes over the destruction of the daughter of my people.

Context

46“Adui zetu wote wamefumbua vinywa vyao wazi dhidi yetu. 47Tumeteseka kwa hofu kuu na shida ya ghafula, uharibifu na maangamizi.” 48Vijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu, kwa sababu watu wangu wameangamizwa. 49Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma, bila kupata nafuu, 50hadi Bwana atazame chini kutoka mbinguni na kuona.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.