Native Bible

Lamentations 3:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Adui zetu wote wamefumbua vinywa vyao wazi dhidi yetu.

Lamentations 3:46 in English

Lamentations 3:46 · Berean Standard Bible

All our enemies open their mouths against us.

Context

44Unajifunika mwenyewe kwa wingu, ili pasiwe na ombi litakaloweza kupenya. 45Umetufanya takataka na uchafu miongoni mwa mataifa. 46“Adui zetu wote wamefumbua vinywa vyao wazi dhidi yetu. 47Tumeteseka kwa hofu kuu na shida ya ghafula, uharibifu na maangamizi.” 48Vijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu, kwa sababu watu wangu wameangamizwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.