Maombolezo 3:47
Lamentations 3:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tumeteseka kwa hofu kuu na shida ya ghafula, uharibifu na maangamizi.”
Lamentations 3:47 in English
Lamentations 3:47 · Berean Standard Bible
Panic and pitfall have come upon us— devastation and destruction.
Context
45Umetufanya takataka na uchafu
miongoni mwa mataifa. 46“Adui zetu wote wamefumbua vinywa vyao
wazi dhidi yetu. 47Tumeteseka kwa hofu kuu na shida ya ghafula,
uharibifu na maangamizi.” 48Vijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu,
kwa sababu watu wangu wameangamizwa. 49Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma,
bila kupata nafuu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.