Maombolezo 3:45
Lamentations 3:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umetufanya takataka na uchafu miongoni mwa mataifa.
Lamentations 3:45 in English
Lamentations 3:45 · Berean Standard Bible
You have made us scum and refuse among the nations.
Context
43“Umejifunika mwenyewe kwa hasira na kutufuatilia;
umetuchinja bila huruma. 44Unajifunika mwenyewe kwa wingu,
ili pasiwe na ombi
litakaloweza kupenya. 45Umetufanya takataka na uchafu
miongoni mwa mataifa. 46“Adui zetu wote wamefumbua vinywa vyao
wazi dhidi yetu. 47Tumeteseka kwa hofu kuu na shida ya ghafula,
uharibifu na maangamizi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.