Native Bible

Lamentations 3:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unajifunika mwenyewe kwa wingu, ili pasiwe na ombi litakaloweza kupenya.

Lamentations 3:44 in English

Lamentations 3:44 · Berean Standard Bible

You have covered Yourself with a cloud that no prayer can pass through.

Context

42“Tumetenda dhambi na kuasi nawe hujasamehe. 43“Umejifunika mwenyewe kwa hasira na kutufuatilia; umetuchinja bila huruma. 44Unajifunika mwenyewe kwa wingu, ili pasiwe na ombi litakaloweza kupenya. 45Umetufanya takataka na uchafu miongoni mwa mataifa. 46“Adui zetu wote wamefumbua vinywa vyao wazi dhidi yetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.