Native Bible

Lamentations 3:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lile ninaloliona huniletea huzuni nafsini kwa sababu ya wanawake wote wa mji wangu.

Lamentations 3:51 in English

Lamentations 3:51 · Berean Standard Bible

My eyes bring grief to my soul because of all the daughters of my city.

Context

49Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma, bila kupata nafuu, 50hadi Bwana atazame chini kutoka mbinguni na kuona. 51Lile ninaloliona huniletea huzuni nafsini kwa sababu ya wanawake wote wa mji wangu. 52Wale waliokuwa adui zangu bila sababu wameniwinda kama ndege. 53Walijaribu kukomesha maisha yangu ndani ya shimo na kunitupia mawe;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.