Maombolezo 3:52
Lamentations 3:52 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wale waliokuwa adui zangu bila sababu wameniwinda kama ndege.
Lamentations 3:52 in English
Lamentations 3:52 · Berean Standard Bible
Without cause my enemies hunted me like a bird.
Context
50hadi Bwana atazame chini
kutoka mbinguni na kuona. 51Lile ninaloliona huniletea huzuni nafsini
kwa sababu ya wanawake wote wa mji wangu. 52Wale waliokuwa adui zangu bila sababu
wameniwinda kama ndege. 53Walijaribu kukomesha maisha yangu ndani ya shimo
na kunitupia mawe; 54maji yalifunika juu ya kichwa changu,
nami nikafikiri nilikuwa karibu
kukatiliwa mbali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.