Native Bible

Lamentations 3:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Na azike uso wake mavumbini bado panawezekana kuwa na matumaini.

Lamentations 3:29 in English

Lamentations 3:29 · Berean Standard Bible

Let him bury his face in the dust— perhaps there is still hope.

Context

27Ni vyema mtu kuchukua nira bado angali kijana. 28Na akae peke yake awe kimya, kwa maana Bwana ameiweka juu yake. 29Na azike uso wake mavumbini bado panawezekana kuwa na matumaini. 30Na atoe shavu lake kwa yule ampigaye, na ajazwe na aibu. 31Kwa kuwa watu hawakatiliwi mbali na Bwana milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.