Maombolezo 3:31
Lamentations 3:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa watu hawakatiliwi mbali na Bwana milele.
Lamentations 3:31 in English
Lamentations 3:31 · Berean Standard Bible
For the Lord will not cast us off forever.
Context
29Na azike uso wake mavumbini
bado panawezekana kuwa na matumaini. 30Na atoe shavu lake kwa yule ampigaye,
na ajazwe na aibu. 31Kwa kuwa watu hawakatiliwi mbali
na Bwana milele. 32Ingawa huleta huzuni, ataonyesha huruma,
kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu. 33Kwa maana hapendi kuwaletea mateso
au huzuni watoto wa wanadamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.