Maombolezo 3:33
Lamentations 3:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana hapendi kuwaletea mateso au huzuni watoto wa wanadamu.
Lamentations 3:33 in English
Lamentations 3:33 · Berean Standard Bible
For He does not willingly afflict or grieve the sons of men.
Context
31Kwa kuwa watu hawakatiliwi mbali
na Bwana milele. 32Ingawa huleta huzuni, ataonyesha huruma,
kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu. 33Kwa maana hapendi kuwaletea mateso
au huzuni watoto wa wanadamu. 34Kuwaponda chini ya nyayo
wafungwa wote katika nchi, 35Kumnyima mtu haki zake
mbele za Aliye Juu Sana,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.