Native Bible

Lamentations 3:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kumnyima mtu haki zake mbele za Aliye Juu Sana,

Lamentations 3:35 in English

Lamentations 3:35 · Berean Standard Bible

to deny a man justice before the Most High,

Context

33Kwa maana hapendi kuwaletea mateso au huzuni watoto wa wanadamu. 34Kuwaponda chini ya nyayo wafungwa wote katika nchi, 35Kumnyima mtu haki zake mbele za Aliye Juu Sana, 36kumnyima mtu haki: Je, Bwana asione mambo kama haya? 37Nani awezaye kusema nalo likatendeka kama Bwana hajaamuru?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.