Native Bible

Lamentations 3:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kumnyima mtu haki: Je, Bwana asione mambo kama haya?

Lamentations 3:36 in English

Lamentations 3:36 · Berean Standard Bible

to subvert a man in his lawsuit— of these the Lord does not approve.

Context

34Kuwaponda chini ya nyayo wafungwa wote katika nchi, 35Kumnyima mtu haki zake mbele za Aliye Juu Sana, 36kumnyima mtu haki: Je, Bwana asione mambo kama haya? 37Nani awezaye kusema nalo likatendeka kama Bwana hajaamuru? 38Je, si ni kwenye kinywa cha Aliye Juu Sana ndiko yatokako maafa na mambo mema?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.