Native Bible

Lamentations 3:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, si ni kwenye kinywa cha Aliye Juu Sana ndiko yatokako maafa na mambo mema?

Lamentations 3:38 in English

Lamentations 3:38 · Berean Standard Bible

Do not both adversity and good come from the mouth of the Most High?

Context

36kumnyima mtu haki: Je, Bwana asione mambo kama haya? 37Nani awezaye kusema nalo likatendeka kama Bwana hajaamuru? 38Je, si ni kwenye kinywa cha Aliye Juu Sana ndiko yatokako maafa na mambo mema? 39Mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake? 40Tuzichunguze njia zetu na kuzijaribu, na tumrudie Bwana Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.