Maombolezo 3:39
Lamentations 3:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake?
Lamentations 3:39 in English
Lamentations 3:39 · Berean Standard Bible
Why should any mortal man complain, in view of his sins?
Context
37Nani awezaye kusema nalo likatendeka
kama Bwana hajaamuru? 38Je, si ni kwenye kinywa cha Aliye Juu Sana
ndiko yatokako maafa na mambo mema? 39Mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika
wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake? 40Tuzichunguze njia zetu na kuzijaribu,
na tumrudie Bwana Mungu. 41Tuinue mioyo yetu pamoja na mikono yetu
kwa Mungu mbinguni, na tuseme:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.