Native Bible

Lamentations 3:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tuinue mioyo yetu pamoja na mikono yetu kwa Mungu mbinguni, na tuseme:

Lamentations 3:41 in English

Lamentations 3:41 · Berean Standard Bible

Let us lift up our hearts and hands to God in heaven:

Context

39Mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake? 40Tuzichunguze njia zetu na kuzijaribu, na tumrudie Bwana Mungu. 41Tuinue mioyo yetu pamoja na mikono yetu kwa Mungu mbinguni, na tuseme: 42“Tumetenda dhambi na kuasi nawe hujasamehe. 43“Umejifunika mwenyewe kwa hasira na kutufuatilia; umetuchinja bila huruma.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.