Native Bible

Lamentations 3:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tuzichunguze njia zetu na kuzijaribu, na tumrudie Bwana Mungu.

Lamentations 3:40 in English

Lamentations 3:40 · Berean Standard Bible

Let us examine and test our ways, and turn back to the LORD.

Context

38Je, si ni kwenye kinywa cha Aliye Juu Sana ndiko yatokako maafa na mambo mema? 39Mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake? 40Tuzichunguze njia zetu na kuzijaribu, na tumrudie Bwana Mungu. 41Tuinue mioyo yetu pamoja na mikono yetu kwa Mungu mbinguni, na tuseme: 42“Tumetenda dhambi na kuasi nawe hujasamehe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.