Native Bible

Lamentations 3:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ingawa huleta huzuni, ataonyesha huruma, kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu.

Lamentations 3:32 in English

Lamentations 3:32 · Berean Standard Bible

Even if He causes grief, He will show compassion according to His abundant loving devotion.

Context

30Na atoe shavu lake kwa yule ampigaye, na ajazwe na aibu. 31Kwa kuwa watu hawakatiliwi mbali na Bwana milele. 32Ingawa huleta huzuni, ataonyesha huruma, kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu. 33Kwa maana hapendi kuwaletea mateso au huzuni watoto wa wanadamu. 34Kuwaponda chini ya nyayo wafungwa wote katika nchi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.