Native Bible

Lamentations 3:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Na atoe shavu lake kwa yule ampigaye, na ajazwe na aibu.

Lamentations 3:30 in English

Lamentations 3:30 · Berean Standard Bible

Let him offer his cheek to the one who would strike him; let him be filled with reproach.

Context

28Na akae peke yake awe kimya, kwa maana Bwana ameiweka juu yake. 29Na azike uso wake mavumbini bado panawezekana kuwa na matumaini. 30Na atoe shavu lake kwa yule ampigaye, na ajazwe na aibu. 31Kwa kuwa watu hawakatiliwi mbali na Bwana milele. 32Ingawa huleta huzuni, ataonyesha huruma, kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.