Native Bible

Lamentations 3:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Na akae peke yake awe kimya, kwa maana Bwana ameiweka juu yake.

Lamentations 3:28 in English

Lamentations 3:28 · Berean Standard Bible

Let him sit alone in silence, for God has disciplined him.

Context

26ni vyema kungojea kwa utulivu kwa ajili ya wokovu wa Bwana. 27Ni vyema mtu kuchukua nira bado angali kijana. 28Na akae peke yake awe kimya, kwa maana Bwana ameiweka juu yake. 29Na azike uso wake mavumbini bado panawezekana kuwa na matumaini. 30Na atoe shavu lake kwa yule ampigaye, na ajazwe na aibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.