Native Bible

Lamentations 3:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ni vyema kungojea kwa utulivu kwa ajili ya wokovu wa Bwana.

Lamentations 3:26 in English

Lamentations 3:26 · Berean Standard Bible

It is good to wait quietly for the salvation of the LORD.

Context

24Nimeiambia nafsi yangu, “Bwana ni fungu langu, kwa hiyo nitamngojea.” 25Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake, kwa yule ambaye humtafuta; 26ni vyema kungojea kwa utulivu kwa ajili ya wokovu wa Bwana. 27Ni vyema mtu kuchukua nira bado angali kijana. 28Na akae peke yake awe kimya, kwa maana Bwana ameiweka juu yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.