Maombolezo 3:25
Lamentations 3:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake, kwa yule ambaye humtafuta;
Lamentations 3:25 in English
Lamentations 3:25 · Berean Standard Bible
The LORD is good to those who wait for Him, to the soul who seeks Him.
Context
23Ni mpya kila asubuhi,
uaminifu wako ni mkuu. 24Nimeiambia nafsi yangu, “Bwana ni fungu langu,
kwa hiyo nitamngojea.” 25Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake,
kwa yule ambaye humtafuta; 26ni vyema kungojea kwa utulivu
kwa ajili ya wokovu wa Bwana. 27Ni vyema mtu kuchukua nira
bado angali kijana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.