Maombolezo 3:24
Lamentations 3:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nimeiambia nafsi yangu, “Bwana ni fungu langu, kwa hiyo nitamngojea.”
Lamentations 3:24 in English
Lamentations 3:24 · Berean Standard Bible
“The LORD is my portion,” says my soul, “therefore I will hope in Him.”
Context
22Kwa sababu ya upendo mkuu wa Bwana, hatuangamii,
kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe. 23Ni mpya kila asubuhi,
uaminifu wako ni mkuu. 24Nimeiambia nafsi yangu, “Bwana ni fungu langu,
kwa hiyo nitamngojea.” 25Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake,
kwa yule ambaye humtafuta; 26ni vyema kungojea kwa utulivu
kwa ajili ya wokovu wa Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.