Native Bible

Lamentations 3:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni mpya kila asubuhi, uaminifu wako ni mkuu.

Lamentations 3:23 in English

Lamentations 3:23 · Berean Standard Bible

They are new every morning; great is Your faithfulness!

Context

21Hata hivyo najikumbusha neno hili na kwa hiyo ninalo tumaini. 22Kwa sababu ya upendo mkuu wa Bwana, hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe. 23Ni mpya kila asubuhi, uaminifu wako ni mkuu. 24Nimeiambia nafsi yangu, “Bwana ni fungu langu, kwa hiyo nitamngojea.” 25Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake, kwa yule ambaye humtafuta;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.