Native Bible

Lamentations 3:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata hivyo najikumbusha neno hili na kwa hiyo ninalo tumaini.

Lamentations 3:21 in English

Lamentations 3:21 · Berean Standard Bible

Yet I call this to mind, and therefore I have hope:

Context

19Nayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu, uchungu na nyongo. 20Ninayakumbuka vyema, nayo nafsi yangu imezimia ndani yangu. 21Hata hivyo najikumbusha neno hili na kwa hiyo ninalo tumaini. 22Kwa sababu ya upendo mkuu wa Bwana, hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe. 23Ni mpya kila asubuhi, uaminifu wako ni mkuu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.