Native Bible

Lamentations 3:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninayakumbuka vyema, nayo nafsi yangu imezimia ndani yangu.

Lamentations 3:20 in English

Lamentations 3:20 · Berean Standard Bible

Surely my soul remembers and is humbled within me.

Context

18Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa Bwana.” 19Nayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu, uchungu na nyongo. 20Ninayakumbuka vyema, nayo nafsi yangu imezimia ndani yangu. 21Hata hivyo najikumbusha neno hili na kwa hiyo ninalo tumaini. 22Kwa sababu ya upendo mkuu wa Bwana, hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.