Native Bible

Lamentations 3:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa sababu ya upendo mkuu wa Bwana, hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe.

Lamentations 3:22 in English

Lamentations 3:22 · Berean Standard Bible

Because of the loving devotion * of the LORD we are not consumed, for His mercies never fail.

Context

20Ninayakumbuka vyema, nayo nafsi yangu imezimia ndani yangu. 21Hata hivyo najikumbusha neno hili na kwa hiyo ninalo tumaini. 22Kwa sababu ya upendo mkuu wa Bwana, hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe. 23Ni mpya kila asubuhi, uaminifu wako ni mkuu. 24Nimeiambia nafsi yangu, “Bwana ni fungu langu, kwa hiyo nitamngojea.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.