Maombolezo 3:19
Lamentations 3:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu, uchungu na nyongo.
Lamentations 3:19 in English
Lamentations 3:19 · Berean Standard Bible
Remember my affliction and wandering, the wormwood and the gall.
Context
17Amani yangu imeondolewa,
nimesahau kufanikiwa ni nini. 18Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka
na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa Bwana.” 19Nayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu,
uchungu na nyongo. 20Ninayakumbuka vyema,
nayo nafsi yangu imezimia ndani yangu. 21Hata hivyo najikumbusha neno hili
na kwa hiyo ninalo tumaini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.