Native Bible

Lamentations 3:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni vyema mtu kuchukua nira bado angali kijana.

Lamentations 3:27 in English

Lamentations 3:27 · Berean Standard Bible

It is good for a man to bear the yoke while he is still young.

Context

25Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake, kwa yule ambaye humtafuta; 26ni vyema kungojea kwa utulivu kwa ajili ya wokovu wa Bwana. 27Ni vyema mtu kuchukua nira bado angali kijana. 28Na akae peke yake awe kimya, kwa maana Bwana ameiweka juu yake. 29Na azike uso wake mavumbini bado panawezekana kuwa na matumaini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.