Native Bible

Job 8:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati bado yanaendelea kukua kabla ya kukatwa, hunyauka haraka kuliko majani mengine.

Job 8:12 in English

Job 8:12 · Berean Standard Bible

While the shoots are still uncut, they dry up quicker than grass.

Context

10Je, hawatakufundisha na kukueleza? Je, hawataleta maneno kutoka kwenye kufahamu kwao? 11Je, mafunjo yaweza kumea mahali pasipo na matope? Matete yaweza kustawi bila maji? 12Wakati bado yanaendelea kukua kabla ya kukatwa, hunyauka haraka kuliko majani mengine. 13Huu ndio mwisho wa watu wote wanaomsahau Mungu; vivyo hivyo matumaini ya wasiomjali Mungu huangamia. 14Lile analolitumainia huvunjika upesi; lile analolitegemea ni utando wa buibui.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.