Native Bible

Job 8:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huu ndio mwisho wa watu wote wanaomsahau Mungu; vivyo hivyo matumaini ya wasiomjali Mungu huangamia.

Job 8:13 in English

Job 8:13 · Berean Standard Bible

Such is the destiny of all who forget God; so the hope of the godless will perish.

Context

11Je, mafunjo yaweza kumea mahali pasipo na matope? Matete yaweza kustawi bila maji? 12Wakati bado yanaendelea kukua kabla ya kukatwa, hunyauka haraka kuliko majani mengine. 13Huu ndio mwisho wa watu wote wanaomsahau Mungu; vivyo hivyo matumaini ya wasiomjali Mungu huangamia. 14Lile analolitumainia huvunjika upesi; lile analolitegemea ni utando wa buibui. 15Huutegemea utando wake, lakini hausimami; huungʼangʼania, lakini haudumu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.