Native Bible

Job 8:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huutegemea utando wake, lakini hausimami; huungʼangʼania, lakini haudumu.

Job 8:15 in English

Job 8:15 · Berean Standard Bible

He leans on his web, but it gives way; he holds fast, but it does not endure.

Context

13Huu ndio mwisho wa watu wote wanaomsahau Mungu; vivyo hivyo matumaini ya wasiomjali Mungu huangamia. 14Lile analolitumainia huvunjika upesi; lile analolitegemea ni utando wa buibui. 15Huutegemea utando wake, lakini hausimami; huungʼangʼania, lakini haudumu. 16Yeye ni kama mti ulionyeshewa vizuri wakati wa jua, ukieneza machipukizi yake bustanini; 17huifunganisha mizizi yake kwenye lundo la mawe, na kutafuta nafasi katikati ya mawe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.