Ayubu 8:17
Job 8:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
huifunganisha mizizi yake kwenye lundo la mawe, na kutafuta nafasi katikati ya mawe.
Job 8:17 in English
Job 8:17 · Berean Standard Bible
His roots wrap around the rock heap; he looks for a home among the stones.
Context
15Huutegemea utando wake, lakini hausimami;
huungʼangʼania, lakini haudumu. 16Yeye ni kama mti ulionyeshewa vizuri wakati wa jua,
ukieneza machipukizi yake bustanini; 17huifunganisha mizizi yake kwenye lundo la mawe,
na kutafuta nafasi katikati ya mawe. 18Unapongʼolewa kutoka mahali pake,
ndipo mahali pale huukana na kusema,
‘Mimi kamwe sikukuona.’ 19Hakika uhai wake hunyauka,
na kutoka udongoni mimea mingine huota.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.