Native Bible

Job 8:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika uhai wake hunyauka, na kutoka udongoni mimea mingine huota.

Job 8:19 in English

Job 8:19 · Berean Standard Bible

Surely this is the joy of his way; yet others will spring from the dust.

Context

17huifunganisha mizizi yake kwenye lundo la mawe, na kutafuta nafasi katikati ya mawe. 18Unapongʼolewa kutoka mahali pake, ndipo mahali pale huukana na kusema, ‘Mimi kamwe sikukuona.’ 19Hakika uhai wake hunyauka, na kutoka udongoni mimea mingine huota. 20“Hakika Mungu hamkatai mtu asiye na hatia, wala kuitia nguvu mikono ya mtenda mabaya. 21Bado atakijaza kinywa chako na kicheko, na midomo yako na kelele za shangwe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.