Ayubu 8:20
Job 8:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Hakika Mungu hamkatai mtu asiye na hatia, wala kuitia nguvu mikono ya mtenda mabaya.
Job 8:20 in English
Job 8:20 · Berean Standard Bible
Behold, God does not reject the blameless, nor will He strengthen the hand of evildoers.
Context
18Unapongʼolewa kutoka mahali pake,
ndipo mahali pale huukana na kusema,
‘Mimi kamwe sikukuona.’ 19Hakika uhai wake hunyauka,
na kutoka udongoni mimea mingine huota. 20“Hakika Mungu hamkatai mtu asiye na hatia,
wala kuitia nguvu mikono ya mtenda mabaya. 21Bado atakijaza kinywa chako na kicheko,
na midomo yako na kelele za shangwe. 22Adui zako watavikwa aibu,
nazo hema za waovu hazitakuwepo tena.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.