Ayubu 8:14
Job 8:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lile analolitumainia huvunjika upesi; lile analolitegemea ni utando wa buibui.
Job 8:14 in English
Job 8:14 · Berean Standard Bible
His confidence is fragile; his security is in a spider’s web.
Context
12Wakati bado yanaendelea kukua kabla ya kukatwa,
hunyauka haraka kuliko majani mengine. 13Huu ndio mwisho wa watu wote wanaomsahau Mungu;
vivyo hivyo matumaini ya wasiomjali Mungu huangamia. 14Lile analolitumainia huvunjika upesi;
lile analolitegemea ni utando wa buibui. 15Huutegemea utando wake, lakini hausimami;
huungʼangʼania, lakini haudumu. 16Yeye ni kama mti ulionyeshewa vizuri wakati wa jua,
ukieneza machipukizi yake bustanini;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.