Ayubu 5:13
Job 5:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao, nayo mipango ya wadanganyifu huifagilia mbali.
Job 5:13 in English
Job 5:13 · Berean Standard Bible
He catches the wise in their craftiness,* and sweeps away the plans of the cunning.
Context
11Huwainua juu wanyonge,
nao wale waombolezao huinuliwa wakawa salama. 12Huipinga mipango ya wenye hila,
ili mikono yao isifikie ufanisi. 13Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao,
nayo mipango ya wadanganyifu huifagilia mbali. 14Giza huwapata wakati wa mchana;
wakati wa adhuhuri hupapasa kama vile usiku. 15Humwokoa mhitaji kutokana na upanga ulioko kinywani mwao;
huwaokoa kutokana na makucha ya wenye nguvu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.