Ayubu 5:11
Job 5:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huwainua juu wanyonge, nao wale waombolezao huinuliwa wakawa salama.
Job 5:11 in English
Job 5:11 · Berean Standard Bible
He sets the lowly on high, so that mourners are lifted to safety.
Context
9Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa,
miujiza isiyoweza kuhesabika. 10Yeye huipa nchi mvua,
huyapeleka maji kunyesha mashamba. 11Huwainua juu wanyonge,
nao wale waombolezao huinuliwa wakawa salama. 12Huipinga mipango ya wenye hila,
ili mikono yao isifikie ufanisi. 13Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao,
nayo mipango ya wadanganyifu huifagilia mbali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.