Native Bible

Job 5:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa, miujiza isiyoweza kuhesabika.

Job 5:9 in English

Job 5:9 · Berean Standard Bible

the One who does great and unsearchable things, wonders without number.

Context

7Lakini mwanadamu huzaliwa ili kutaabika, kwa hakika kama cheche za moto zirukavyo kuelekea juu. 8“Lakini ingekuwa ni mimi, ningemlalamikia Mungu, ningeliweka shauri langu mbele zake. 9Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa, miujiza isiyoweza kuhesabika. 10Yeye huipa nchi mvua, huyapeleka maji kunyesha mashamba. 11Huwainua juu wanyonge, nao wale waombolezao huinuliwa wakawa salama.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.