Native Bible

Job 5:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Lakini ingekuwa ni mimi, ningemlalamikia Mungu, ningeliweka shauri langu mbele zake.

Job 5:8 in English

Job 5:8 · Berean Standard Bible

However, if I were you, I would appeal to God and lay my cause before Him—

Context

6Kwa maana taabu haioti kutoka kwenye udongo, wala udhia hauchipui kutoka ardhini. 7Lakini mwanadamu huzaliwa ili kutaabika, kwa hakika kama cheche za moto zirukavyo kuelekea juu. 8“Lakini ingekuwa ni mimi, ningemlalamikia Mungu, ningeliweka shauri langu mbele zake. 9Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa, miujiza isiyoweza kuhesabika. 10Yeye huipa nchi mvua, huyapeleka maji kunyesha mashamba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.