Ayubu 5:7
Job 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini mwanadamu huzaliwa ili kutaabika, kwa hakika kama cheche za moto zirukavyo kuelekea juu.
Job 5:7 in English
Job 5:7 · Berean Standard Bible
Yet man is born to trouble as surely as sparks fly upward.
Context
5Wenye njaa huyala mavuno yake,
wakiyatoa hata katikati ya miiba,
nao wenye kiu huitamani sana mali yake. 6Kwa maana taabu haioti kutoka kwenye udongo,
wala udhia hauchipui kutoka ardhini. 7Lakini mwanadamu huzaliwa ili kutaabika,
kwa hakika kama cheche za moto zirukavyo kuelekea juu. 8“Lakini ingekuwa ni mimi, ningemlalamikia Mungu,
ningeliweka shauri langu mbele zake. 9Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa,
miujiza isiyoweza kuhesabika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.