Ayubu 5:10
Job 5:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye huipa nchi mvua, huyapeleka maji kunyesha mashamba.
Job 5:10 in English
Job 5:10 · Berean Standard Bible
He gives rain to the earth and sends water upon the fields.
Context
8“Lakini ingekuwa ni mimi, ningemlalamikia Mungu,
ningeliweka shauri langu mbele zake. 9Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa,
miujiza isiyoweza kuhesabika. 10Yeye huipa nchi mvua,
huyapeleka maji kunyesha mashamba. 11Huwainua juu wanyonge,
nao wale waombolezao huinuliwa wakawa salama. 12Huipinga mipango ya wenye hila,
ili mikono yao isifikie ufanisi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.