Native Bible

Job 5:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huipinga mipango ya wenye hila, ili mikono yao isifikie ufanisi.

Job 5:12 in English

Job 5:12 · Berean Standard Bible

He thwarts the schemes of the crafty, so that their hands find no success.

Context

10Yeye huipa nchi mvua, huyapeleka maji kunyesha mashamba. 11Huwainua juu wanyonge, nao wale waombolezao huinuliwa wakawa salama. 12Huipinga mipango ya wenye hila, ili mikono yao isifikie ufanisi. 13Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao, nayo mipango ya wadanganyifu huifagilia mbali. 14Giza huwapata wakati wa mchana; wakati wa adhuhuri hupapasa kama vile usiku.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.