Native Bible

Job 5:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Giza huwapata wakati wa mchana; wakati wa adhuhuri hupapasa kama vile usiku.

Job 5:14 in English

Job 5:14 · Berean Standard Bible

They encounter darkness by day and grope at noon as in the night.

Context

12Huipinga mipango ya wenye hila, ili mikono yao isifikie ufanisi. 13Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao, nayo mipango ya wadanganyifu huifagilia mbali. 14Giza huwapata wakati wa mchana; wakati wa adhuhuri hupapasa kama vile usiku. 15Humwokoa mhitaji kutokana na upanga ulioko kinywani mwao; huwaokoa kutokana na makucha ya wenye nguvu. 16Kwa hiyo maskini analo tarajio, nao udhalimu hufumba kinywa chake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.