Native Bible

Job 5:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo maskini analo tarajio, nao udhalimu hufumba kinywa chake.

Job 5:16 in English

Job 5:16 · Berean Standard Bible

So the poor have hope, and injustice shuts its mouth.

Context

14Giza huwapata wakati wa mchana; wakati wa adhuhuri hupapasa kama vile usiku. 15Humwokoa mhitaji kutokana na upanga ulioko kinywani mwao; huwaokoa kutokana na makucha ya wenye nguvu. 16Kwa hiyo maskini analo tarajio, nao udhalimu hufumba kinywa chake. 17“Heri mtu yule ambaye Mungu humrudi; kwa hiyo usidharau adhabu yake Mwenyezi.* 18Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga; huumiza, lakini mikono yake pia huponya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.